Wednesday, June 11, 2014

Huyu Mtoto Ataniua Soon...Khaaaa Hata Kula Sili Kwa Ajili yake jamaniii Mnihurumieeeeeeh.

Kuna nyumba mpya ya kupanga nimehamia kama miezi miwili iliopita katika io nyumba kuna msichana next door anaishi na dada yake tunasoma wote chuo kimoja.

No comments:

Post a Comment