Siku hizi si jambo la kushangaza kuona mwalimu anatoka na mwanafunzi wake ili tu mwanafunzi apate majibu kwenye mtihani. ......... Imekuwa ni kawaida kabisa kwa wanafunzi kufanya mapenzi madarasani au mabwenini. Lakini cha kushangaza walimu wapo na hawasemi lolote......
Kuweni
makini wanafunzi .Ni bora mkakumbuka kuwa mmeenda shule kusoma na
siyo kufanya ngono na wanafunzi wenzenu au walimu wenu.
MATUKIO HAYO MACHAFU YANAENDA SAMBAMBA NA KUPIGA PICHA CHAFU
0 comments:
Post a Comment