Jana
usiku ilitokea pata shika katika klabu moja mashuhuri sana hapa iliyopo
mjini Gaborone, Botswana, pale ambapo watu walipopandwa na mizuka usiku
wa manane na kujikuta wakivua nguo zote na kuanza kucheza uchi wa
mnyama.
Warembo
kutoka sehemu mbalimbali za jiji hili walikuwa wakiwavulia wanaume
chupi na kujitia madole mbele yao hili wapate kupewa pesa kama zawadi ya
kuonesha ufuska huo.
ilipopata
saa nane na nusu usiku, polisi waliivamia klabu hiyo na kuwaweka raia
wote chini ya ulinzi. Kwa madai yao, kitendo cha kucheza namna ile
kingeweza kusababisha vurugu ama chochote kinachofanana na hicho, kwani
wanaume wangeweza kuwagombania wanawake hao waliokuwa uchi. Pia kitendo
hicho ni kinyume na maadali ya taifa hilo!
Hii ni laana, tunakoelekea ni kuwa kama sodoma na gomora!!!!
0 comments:
Post a Comment