Nyege si kitu kizuri
sana kama tunavyofikiri,wala si jambo la kufanyia mchezo kama ambavyo wengi
tunachukulia bali Nyege ni tatizo kama tatizo lingine serious ambalo linatakiwa
litafutiwe ufumbuzi ili muhusika apate ahueni.
Nyege hufanya mtu awe na hisia za hali
ya juu kuhusu masuala ya mapenzi iwe kufanya au kufanywa hivyo humpa wakati
mgumu sana aliyepatwa na nyege hizo kwani inakuwa ngumu kufanya mambo muhimu
kwa wakati huo kama vile kazi,kusoma hivyo huwa hatari sana kwa mtu kuendelea
na shughuli za kawaida za uzalishaji mali.
Kushikwa na nyege hizo ni suala moja na
kutafuta suluhu ya nyege hizo ni jambo lingine kwani wengi tumezoea njia moja
kuu ya kumaliza nyege ni kufanya ngono ili kuridhisha nafsi na hatimaye
kutuliza munkari. Lakini hiyo ni njia ya kwanza japo inachangamoto zake kwani
si kila utakapohisi nyege utapata wa kufanyanae.
Hivyo zipo njia zingine za
kupunguza nyege kama vile punyeto (kujitia vidole ukeni mpaka ufike kileleni),
kufanya mazoezi kama vile kukimbia, nk, vile vile waweza kujihusisha na kazi
ngumu, kuoga maji ya baridi ambayo hayawezi kuruhusu nyege hizo kuendelea.
0 comments:
Post a Comment