Thursday, September 18, 2014

SUALA hili limekuwa sugu yani kila kukicha tunakemea kwa kulizungumzia picha za wadada hawa mitandaoni, Hapo mwanzoni tulihisi walighafilika maana hakuna binadamu aliyekamilika lakini kwa sasa tumegundua kuwa wanafanya makusudi,.. Wengi hujiuliza kuwa Blogges wanapataje picha hizi? Ukweli ni kwamba picha hizi wadada hawa bila aibu huanza kuzitupia katika kurasa zao za facebook na hata Instagram wao wenyewe... 
Tuungane kuupinga ufirauni huu wa hawa dada zetu na sio kuponda Bloggers eti wanadhalilisha wadada ilihali wanajidhalilisha wenyewe kwa kukosa utu...!JIHESHIMU UHESHIMIWE MDADA...Sijui tunaelekea wapi na ulimwengu wetu maadili yamemomonyoka, Tunashindwa kuutumia utandawazi vizuri.

RELATED POSTS

0 comments:

Post a Comment

bb