Vitendo vya ngono nchini Uganda
vimesababish maambukizi makubwa ya UkimwiMwanamke wa miaka 37, Adong
anashikiliwa na Polisi huko Gulu nchini Uganda kwa kosa la kuwaingilia
watoto wawili wa kiume wenye umri wa miaka 14 na 15 ambao vilevile ni
wenye undugu na yeye!Aliwaingilia watoto hao alipokwenda kuwatembelea
wazazi wao na ndipo usiku akanyata na
kuingia chumbani mwao na kuwashawishi bila aibu wamle uroda!Ilitokea baba yao aliwasikia wanae wakijadili juu ya "utamu" na ndipo akaiarifu polis nao hawakuzubaa na kumtia ndani. Akitiwa hatiani anaweza kufungwa miaka 7 au maisha!Mambo hayo!

0 comments:
Post a Comment