Wednesday, June 11, 2014

Mara nyingi tumekuwa tukiwaza mambo makubwa sana katika kuleta mvuto au mshawasha wa mapenzi hasa pale muwapo chumbani tayari kupeana tiba ambayo hakika humfanya kila mtu asahau shida.

Hakuna haja ya kuumiza kichwa sana kwani yapo mambo mengi sana ya kuwafanya mpate hamasa wewe na mpenzi wako na mujione kuwa ni watu spesho kuliko wengine,moja ya jambo hilo ni aina ya taa iliyoko chumbani kwenu,taa

0 comments:

Post a Comment

bb