IMEBAKI
SIKU MOJA TU KABLA YA KUFANYIKA TUKIO LA KUKUMBUKWA NDANI YA CLUB
MAISHA DODOMA, WAKAZI WA SINGIDA, DODOMA, MOROGORO WAPENDA BURUDANI
WAANZA KUPANDISHA HOMA, MITAMBO YA XTREME DEEJAYZ KUANZA KUTUA KESHO
MCHANA!
Na Sakina Shabani
Mmh
wimbo la mastaa wetu kuendelea kujishushi hadhi linaendelea kushika
kasi kila kukicha huku hakuna sheria zozote zinazochukuliwa dhidi yao.
Msanii
nyota toka kiwanda cha bongo movie Edward Tem "Nick" picha zake za
utupu zaidi 200 zimenaswa na mtandao huu hatari wa xdeejayz
zikimuonesha akiwa na wanawake zaidi ya watano wakimchezea nyeti zake.
Xdeejayz
wiki kdhaa za nyuma iliwahi kushushiwa picha za fumanizi la msanii huyo
dhidi ya msanii wake wa kike ambae alifumaniwa nae maeneo ya Kawe
Jijini Dar ambapo sakata hili liliishia kituo cha Polisi Hananasifu
baada ya msanii huyo kuridhia kumlipa mwenye mke kiasi cha shilingi laki
tano.
Chanzo
chetu kiliendelea kusema kuwa picha hizi za utupu zilipigwa siku nyingi
kabla ya hilo fumanizi na zimevuja kutoka kwenye kamera yake mara baada
ya kupotea ambapo blog hii ilifanya jitahada za kumtafuta msanii huyo
kupitia simu yake ya kiganjani lakini kwa bahati mbaya hakuweza
kupatikana.
Msanii
huyo ambae sasa hivi ameachia filamu zake kama Bad Father,The,re ma
sons, House Girl na Boss ambapo kati ya filamu hizo moja tu ndiyo
iliyopelekwa kampuni ya Pilipili Entertainment ya Bad Father
0 comments:
Post a Comment