Mwanamziki Nick Minaj mwishoni mwa wiki jana alifanya
tukio la kushangaza baada ya kuamua kuonesha matiti yake
wakati akitumbuiza jukwaani katika tamasha la muziki la Summer
Jam Hip-Hop lililofanyika New Jersey nchini Marekani ambako
wasanii kadhaa wa Hip Hop walitumbuiza…..
Minaj alipanda jukwaani hapo huku akiwa amevalia suruali
ya kubana, kwa juu alivalia kiblauzi cha kupwaya kilichoacha
wazi sehemu kubwa ya tumbo lake kutokana na kushonwa kwa
kuishia kwa chini ya matiti yake na zaidi kilishonwa kwa
kutumia kitambaa cha kuonesha…..
Wakati mwanamziki huyo akianza kuimba aliwashangaza wengi
waliokuwa katika onesho hilo kutokana na kuanza kukifunua
kiblauzi chake hicho mara kadhaa na kuwaonesha mashabiki wake
matiti yake ambayo kwa ndani hayakivishwa sidiria.
0 comments:
Post a Comment