Wednesday, June 11, 2014

 
Zamani tulikuwa na hofu na mahouse girl kuvunja ndoa za watu lakini kwa sasa mabo yamebadilika.Kiongozi mkubwa mstaafu serikalini (Mr Kelechi) ameshangazwa na kile kinachoitwa sintofahamu baada ya kuona maajabu kwenye simu ya mfanyakazi wake wa kiume 
wa nyumbani kwake(house boy).
Taarifa zinasema kiongozi huyo alichukua simu ya mfanyakazi wake iliafanye mawasiliano lakini katika kuichezea alizikuta picha za uchi za mke wake.Mapigo ya moyo yalibadilika, ndugu msomaji usiombe uibiwe mke ni bora ukaibiwa hata pesa.

0 comments:

Post a Comment

bb