Huyu ni moja kati ya Model ambaye ni hot kwa hivi sasa katika ulimwengu mzima. Tofauti wa wa hapa kwetu Helen Deneen ni msomi Levo ya Masters kutoka katika Chuo kikuu cha Howard,
Marekani. Kama ilivyo kwa ma model wengine huyu naye anajishughurisha na
maswala ya Uigizaji wa filamu, Upigaji picha za matangazo, Magazine.
0 comments:
Post a Comment