KIAPO! Modo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa katika maisha yake, kamwe hawezi kushea penzi na mwigizaji Wema .
Modo maarufu Bongo , Hamisa Mobeto.
Akistorisha na Ijumaa Wikienda, Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata iweje !
Modo maarufu Bongo , Hamisa Mobeto.
Akistorisha na Ijumaa Wikienda, Hamisa alisema watu wamekuwa wakimkosea kumtaja kuwa anaweza kutoka na Diamond Platnumz wakati hawezi kufanya hivyo hata iweje !
“Siwezi kushea penzi na Wema hata siku moja, niaminini, nina maisha yangu mengine kabisa wapo wanaoweza kufanya hivyo lakini si mimi , ” alisema Hamisa .
0 comments:
Post a Comment