Tuesday, June 17, 2014

NCHI za wenzetu kupiga picha za utupu si kitu kigeni lakini Kibongobongo sheria na maadili ya Mtanzania hayaruhusu kufanya hivyo.Licha ya kubanwa na sheria pamoja na maadili, wapo wasanii na wananchi wengine ambao kwa nyakati tofauti walijikuta katika adha ya kupigwa kama si kujipiga picha za utupu kisha zikazagaa mitaani. 

Wapo waliotajwa kupiga picha hizo kwa kusaka umaarufu, waliopigwa na wapenzi wao kisha wakazivujisha lakini wengine imedaiwa kuwa wamezivujisha wenyewe na kusingizia zimevujishwa na wapenzi wao.Huyu dada(jinakapuni) alipigwa picha na mpenzi wake ..na picha kuishia kwenye mitandao..Sasa swali linakuja...?je kila siku wadada wanaopiga picha za utupu mwisho wake wanazikuta mtandaoni na kwann wengine wanaendelea kupiga au kupigwa.

<<<<<<<< ENDELEA HAPA >>>>>>>>>>>>

0 comments:

Post a Comment

bb