Machale
yalianza kunicheza pale nilipokuta picha za ajabu kwenye simu ya mpenzi
wangu akiwa na rafiki yake wa kike chumbani wakifanya mambo yanayo
husiana na usagaji, Picha hizo zilinitisha ikabidi nimuulize hakuonyesha
kujali nakuona nikama kitu cha kawaida, baadhi ya picha walionekana
wakikiss, na nyingine kukumbatiana, ila mpaka leo anabisha anasema
walikuwa wancheza tu ...ila nimepata jibu kwanini muda mwingi anaspend
na huyo rafiki yake zaidi yangu sometimes hatuonane weekend nzima
nikumuuliza anasema yupo kwa shoga yake
Ushauri wadau nimpige chini au Kuna Jinsi ya Kumrekebisha?
0 comments:
Post a Comment