Wednesday, June 11, 2014

  https://fbcdn-sphotos-g-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/s480x480/946757_417898488307807_323015544_n.jpg

kweli ukiwa super staa mademu ni wewe tu , hii inazidi kujidhihirisa kila kukicha katika show mbali mbali za wasanii ambapo wamekuwa wakishobokewa na mademu mpaka mademu wengine upagawa na kuwakimbia mabwana zao na kukimbilia stejini kumpagawisha msanii, na wasanii wa bongo akipata hyo nafasi utajuta kama ulienda na demu wako siku hyo lazima kama sio kulala sero utaumizwa na mabaunsa pindi tu utakapojaribu kumkomboa demu wako mikononi mwa shababi huyo... lakini dada zetu jieshimuni basi kwani msanii kitu gani jamani.. kama unapenda wasanii basi kaolewe na studio au CD... ni mtazamo tu jamani .......

0 comments:

Post a Comment

bb