Wednesday, June 11, 2014



  KWA mujibu wa vyanzo vya habari hii iliripotiwa katika website hii ya Masai Nyotambofu iliripotiwa na mtu wa karibu kabisa na Dada huyo kama ifuatavyo: mnamo tarehe 29 agost mwaka huu dada huyu ambaye jana lake limehifadhiwa alipoteza Simu yake aina ya SAMSUNG ambayo ilikuwa imesheni picha likuki za utupu alizopigwa na hawara yake wakiwa katika malavidavi..! Za mwizi arobaini..!!!!! Baada ya simu 
kupotea na kuokotwa ndipo 

kila dhambi ilijiweka hadharani, Aliyeiokota alikuwa mtu wa karibu kabisa na familia hiyo kibaya zaidi aliiokota ikiwa na matatizo baada ya kudondoka hivyo ilimlazimu aipeleke kwa fundi kuirekebisha ili iwake.  Hapo ndipo balaa lilipojiri.. Mapicha yalisambaa kila kona hatimaye kumfikia muhusika mpaka sasa maelewano ndani yeye na mumewe hakuna muda wowote talaka inaweza kuunguruma mezani.   Familia pande zote mbili hazitaki hata kumuona kwani walikuwa wachamungu na hawakutegemea ufuska alioufanya binti huyo..! Dada zetu kuweni makini na suala la picha za utupu katika Simu zenu kwani yaliyomkuta huyu mwenzenu anajuta.

0 comments:

Post a Comment

bb